
EPL, SERIE A, BUNDESLIGA NA LA LIGA KUENDELEA WIKIENDI HII
Baadhi ya mataifa yameshajihakikishia kucheza Kombe la Dunia mwakani. Wengine, wataendelea kujitafuta mwezi Machi mwakani. Ligi Soka barani Ulaya kuendelea wikiendi hii, karata ya ushindi inapatikana Meridianbet! Mkeka wako wikiendi hii, upambe kwa namna hii; Augsburg kuwaalika Bayern Munich katika muendelezo wa Bundesliga Ijumaa hii. Huu ni mchezo ambao unazalisha magoli ya kutosha. Lolote linaweza…