
KIPA SIMBA ATAJWA KUIBUKIA MTIBWA SUGAR
JEREMIA Kisubi kipa namba nne wa Simba ambaye aliibuka hapo akitokea kikosi cha Tanzana Prisons anatajwa kuibuka ndani ya Mtibwa Sugar. Habari zinaeleza kwamba nyota huyo ameomba atolewe kwa mkopo ili aweze kupata changamoto mpya kwa kuwa ndani ya Simba hana nafasi ya kuanza kwenye mechi za ushindani. Mpaka sasa Simba ikiwa imecheza mechi 9…