KOCHA GEITA AFUNGUKA MPOLE KUTUA SIMBA, YANGA

KOCHA Mkuu wa kikosi cha Geita Gold, Fred Felix Minziro, ameweka wazi kuwa ni kweli kuna uwezekano mkubwa wakampoteza straika na nahodha wa kikosi chao, George Mpole ambaye anatajwa kupokea ofa kutoka klabu za Simba na Yanga. Mpole amekuwa miongoni mwa wachezaji ambao wako kwenye nafasi kubwa ya kuondoka ndani ya kikosi cha Geita Gold…

Read More

SHINDA MAMILIONI NA 20 IMPERIAL CROWN KASINO!!

20 Imperial Crown Deluxe ni mchezo wa kasino mtandaoni unaohusu matunda, mchezo huu una safu tano zilizopangwa katika mistari mitatu yenye mistari 20 ya malipo. Ili kushinda, lazima uunganishe alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo. Alama ya Lucky 7 ndiyo isiyofuata sheria hii na huleta malipo popote inapoonekana kwenye safu zilizopangwa. Kila…

Read More

SIMBA YAWAFUATA SINGIDA BIG STARS

KOCHA Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema kuwa wanatambua mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars utakuwa na ushindani mkubwa. Kikosi cha Simba leo Novemba 7 kimesepa Dar ambapo kitapitia Dodoma kabla ya kuibukia Singinda. Mchezo huo wa ligi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti ukiwa ni wa pili kwa Simba kucheza…

Read More

CHASAMBI KUIBUKIA SIMBA

INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye hesabu za kukamilisha usajili wa nyota Ladack Chasambi ambaye yupo ndani ya Mtibwa Sugar. Nyota amekuwa kwenye rada za Simba na Yanga ambapo kila mmoja amekuwa akimvutia kasi kunasa saini yake. Hata hivyo Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba aliweka wazi kuwa usajili wao…

Read More

ZIMBWE JR KUSEPA SIMBA, ISHU IPO HIVI

MOHAMED Hussen Zimbwe Jr nahodha wa Simba chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Fadlu Davids ngoma bado ni nzito kwake kwenye ishu ya kuongeza mkataba mpya na amebainisha kuwa ikitokea ofa anaweza kuondoka kwenda nje kupata changamoto mpya. Inatajwa kuwa kwa sasa mabosi wa timu hiyo hesabu kubwa ni kwenye mechi zilizopo mbele yao ikiwa…

Read More

MASTAA SIMBA WAWAFUATA OLRANDO PIRATES

KLABU ya Soka ya Simba imeanza safari Alfajiri ya leo ijumaa 22, 2022 kuelekea nchini Afrika Kusini ambako itakwenda kucheza mechi yake ya marudiano dhidi ya Klabu ya Orlando Pirates ya nchini humo. Simba inakwenda Afrika Kuisni ikiwa na faida ya ushindi wa bao moja ilioupata katika mchezo wa kwanza uliofanyika jijini Dar es Salaam…

Read More

ARTETA YUPO ARSENAL MPAKA 2025

KLABU ya Arsenal imemuongezea dili jipya Kocha Mkuu Mikel Arteta hivyo atakuwa hapo mpaka mwaka 2025 akikinoa kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu England. Pia kocha wa timu ya Wanawake, Jonas Eidevall yeye atakuwa ndani ya timu hiyo mpaka msimu wa 2023/24 ndani ya timu hiyo. Arteta, alijiunga na timu hiyo mwaka 2019,ameweza kuiongoza timu hiyo…

Read More

SIMBA YAANDIKA REKODI HII TATU BORA

KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha imeandika rekodi yake ndani ya tatu bora kwa kuwa timu iliyoruhusu mabao mengi yakufungwa. Ipo wazi kuwa Simba inatarajiwa kutupa kete yake nyingine leo Aprili 13 dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti, Singida. Wachezaji wa Simba wanaonekana kutokuwa imara…

Read More

DAKIKA 180 ZAIPA NGUVU SIMBA KUIKABILI DODOMA JIJI

DAKIKA 180 ambazo Simba imezitumia kwenye mechi za kirafiki Zanzibar zimewapa nguvu ya kupambana dhidi ya Dodoma Jiji. Leo kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kitatupa kete yake kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mgunda amesema kuwa mechi mbili ambazo wamecheza Zanzibar zinawapa nguvu kwa ajili…

Read More

CHAMPIONSHIP KUKIWASHA LEO

MWENYEKITI   wa Mbeya Kwanza, Mohamed Mashango  ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Championship dhidi ya Green Warrior Uwanja Majimaji,Ruvuma. Mashango  amesema ” Tumejiandaa vizuri tunamshukuru Mungu kila kitu kinaendelea vizuri tumejipanga vizuri tunahitaji pointi tatu tunajua mchezo utakuwa mgumu tupo tayari kwa ajili ya kupambana . “Hali ya wachezaji kwa…

Read More