Home Sports DODOMA JIJI 0-1 SIMBA

DODOMA JIJI 0-1 SIMBA

LICHA ya ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kusoma Dodoma Jiji 0-1 Simba ukuta wa Simba unaonekana kuwa mzito kwelikweli.

Bao la kuongoza ndani ya dakika 45 za mwanzo limefungwa na Jean Baleke dakika ya 45 akitumia makosa ya safu ya ulinzi ya Dodoma Jiji.

Dodoma Jiji wanaonekana kuwa na kasi kuitafuta ngome ya kipa namba moja wa Simba Aishi Manula.

Ni Hassan Mwaterema ambaye amekuwa ni miongoni mwa nyota wa Dodoma Jiji ambao wanausumbua ukuta wa Simba.

Nyota huyo anashirikiana na Collin Opare mwenye mabao manne kwenye ligi kusakama lango la Simba.

Previous articleKIKOSI CHA DODOMA JIJI DHIDI YA SIMBA
Next articleYANGA YAONGEZA NGUVU ULINZI