
MWAMUZI HUYU AFCON ALITIBUA KWELI MAMBO
MWAMUZI kutoka nchini, Zambia Janny Sikazwe amezua gumzo kwenye michuano ya AFCON inayoendelea kutimua vumbi huko Cameroon wakati wa mchezo wa kundi F kati ya Tunisia na Mali uliomalizika kwa Mali kuibuka na ushindi wa 1-0. Maamuzi ya utata yaliyotolewa na refa huyo katika mchezo huo yamezua mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii na kuzua…