
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi.
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi.
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaoatarajiwa kuchezwa kesho, Desemba 18. Itakuwa ni Uwanja wa Kaitaba ambapo tayari timu ya Simba imeshawasili Bukoba kwa ajili ya maandalizi ya mwisho wa mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa….
UONGOZI wa Klabu ya Simba leo Desemba 17,2021 umezindua kampeni maalumu kwa ajili ya mashabiki,wanachama na wadau kuweza kuchanga fedha kwa ajili ya gharama za ujenzi wa kisasa. Uwanja huo wa Mo Simba Arena gharama zake ambazo zinatarajiwa kutumika ni zaidi ya Bilioni 30 na wameweka wazi kwamba utakuwa ni mchakato endelevu na matumizi ya…
Desemba 17, 2017, Gazeti la Spoti Xtra liliingia mtaani kwa mara ya kwanza. Tangu hapo, hadi leo Desemba 17, 2021, limetimiza miaka minne likiendelea kufanya vizuri na kuteka wasomaji wengi ambao wamekuwa wadau wetu wakubwa. Unaouona hapo, ni ukurasa wa mbele wa nakala ya kwanza ya Gazeti la Spoti Xtra. Ubora wa timu ya Spoti…
KOCHA Mkuu wa Geita Gold Fredy Felix Minziro, leo Desemba 17 ameanza kuwatumia wachezaji wake wapya katika kikosi chake kwa ajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Maingizo hayo mapya yamekipiga ndani ya timu kongwe Simba na Yanga ni pamoja na beki wa kazi chafu, Juma Nyoso ambaye aliwahi kucheza Simba, Mbeya City na Kagera Sugar…
ABDALAH Mohamed, ‘Bares’ Kocha Mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa ubora wa Simba upo kwenye viungo jambo ambalo liliwafanya washindwe kupata matokeo mazuri walipokutana nao Uwanja wa Mkapa. Simba Desemba 14 iliweza kushinda bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho raundi ya tatu ambapo bao la ushindi lilifungwa na Kibu…
IKIWA leo timu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddne Nabi inaelekea Sumbawanga kwa ajili ya mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons itawakosa mastaa wake wanne kikosi cha kwanza. Leo Desemba 17 kikosi kitapita Mbeya kabla ya kuibukia Sumbawanga ambapo kitakuwa na mchezo dhidi ya Prisons, Desemba 19. Ni Yacouba Songne ambaye ni majeruhi…
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa sasa ambapo leo Desemba 17 kuna mechi ambazo zitachezwa. Geita Gold itashuka Uwanja wa Nyankumbu kusaka pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting. Mbeya Kwanza itakuwa na kibarua Uwanja wa Sokoine dhidi ya Namungo FC. Dodoma Jiji v Polisi Tanzania, Uwanja wa Jamhuri,Dodoma.
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba hakuna mchezaji mkubwa ndani ya kikosi cha Yanga kwa kuwa Yanga ni kubwa kuliko yoyote. Kocha huyo raia wa Tunissia ameongeza kuwa kuhusu kuanza kikosi cha kwanza kwa wachezaji wake itategemea na namna hali itakavyokuwa kutokana na mchezo husika na haina maana kwamba kufunga mabao ni…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
Bundesliga, Serie A na EPL kunogesha wikiendi yako. Wakati baadhi ya vilabu vya EPL vikihaha na maambukizi ya Omicron Variant, nchi zingine mambo yanaendelea kama kawaida, kwa kuzingatia tahadhari dhidi ya COVID-19. Wikiendi inakwenda namna hii; Bayern Munichen watakuwa pale Allianz Stadium kuwaalika Wolfsburg Ijumaa hii. Huu ni mchezo ambao unazikutanisha timu mbili zenye…
WAZIRI wa Maliasili, Dkt Damasi Ndumbaro ameibuka mshindi wa mashindano ya Gofu ya Wabunge ya Afrika Mashariki kwa ushindi wa jumla akiwakilisha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri Ndumbaro amepata jumla ya pointi 73 katika ushindi wa jumla zilizofanya aweze kuibuka kidedea. Ndumbaro amesema kuwa ushindani ulikuwa mkubwa kwa kuwa kila mshiriki alikuwa…
KAMPUNI ya Meridian Bet imeandaa muendelezo wa Bonanza lao mashindano ya mtaani ya Meridian Bet street soccer bonanza litafanyika leo kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke, Dar es Salaam
BEKI wa zamani wa kikosi cha Yanga, Nadir Haroub, ‘Canavaro’ ameweka wazi kuwa kwa zama ambazo alikuwa akicheza yeye mpira wa ushindani bado hajaona ambaye ameweza kumfikia nyota wa zamani wa Simba Emanuel Okwi. Canavaro amebainisha kwamba hawezi kusema maneno mengi zaidi ya kusema kwamba hakuna kama Okwi.
MWINYI Zahera, Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi kwenye timu za Vijana ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kuwa mshambuliaji Heritier Makambo hahitaji nafasi nyingi ili aweze kufunga. Desemba 15,Uwanja wa Mkapa Makambo alitupia mabao matatu kwenye ushindi wa mabao manne dhidi ya Ihefu FC mchezo wa Kombe la Shirikisho na bao moja lilifungwa na…
MKAZI wa Morogoro amefanikiwa kuibuka mshindi wa mkwanja mrefu baada ya kufanikiwa kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kweye Jacpot ya wiki iliyopita, Mshindi wa SportPesa Jackpot bonus pichani ni Kassim Said Liuzilo mwenye miaka 52, ambaye ni kutoka Kilombero, Morogoro. Liuzilo ameshikilia mfano wa hundi ya shilingi 10,534,628 baada ya kubashiri kwa…
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa viwango vya wachezaji wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na Pape Sakho na Jimmyson Mwanuke vinazidi kuimarika kwa kuwa walifanya vizuri walipopewa nafasi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya JKT Tanzania. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 14, Simba iliibuka na ushindi…