
SIMBA:TUTAFANYA USAJILI WA MAANA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwenye dirisha dogo la usajili watafanya usajili wa maana kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Dirisha dogo la usajili limefunguliwa Desemba 16 na linatarajiwa kufungwa Januari 15,2022 ambapo kwa sasa timu zimeanza harakati za usajili. Akizungumza na Championi Jumatatu,Mwenyekiti wa Simba,…