
2022 IKAWE BORA NA YENYE MAFANIKIO PIA
2021 kwa sasa inahitaji kutuacha kwa kuwa tayari yale mapigano yote yamefanyika na wapo ambao wameambulia maumivu na wengine ilikuwa ni furaha kwao. Kwenye ulimwengu wa mpira tumeona namna ushindani ulivyokuwa kwa kila timu kupambana kusaka ushindi hilo ni jambo la msingi na ni muhimu kuendelea kufanyika. Pia kwenye Ligi ya Wanawake Tanzania nayo pia…