
HONGERA KOMBA,WENGINE WAJIFUNZE
KWA ambalo limetokea kwa waamuzi wa Tanzania bado kuna jambo la kujifunza ili wakati ujao orodha ya majina ya waamuzi ambao watapewa nafasi ya kuchezesha mashindano ya kimataifa izidi kuongezeka. Mwamuzi Mtanzania, Frank Komba ni yeye pekee ambaye ameweza kupenya kwenye orodha hivyo katika hilo kuna jambo la kujifunza. Kwa Komba kuteuliwa na CAF kuwa…