
MUKOKO AINGIA ANGA ZA SIMBA,ATAJWA KUTOKUWA NA FURAHA
IMEELEZWA kuwa kiungo mkabaji ndani ya kikosi cha Yanga, Mkukoko Tonombe amegomea mkataba mpya kwa ajili ya kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mukoko ndani ya Yanga kwa sasa amepoteza nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza msimu huu kutokana na uwepo wa Khalid Aucho na Yanick Bangala ambao wamesajiliwa msimu huu. Wakati Mukoko akiwa kwenye hatihati kubaki Yanga, taarifa kutoka Simba zinadai kwamba, tayari uongozi wa klabu…