
JESHI LA SIMBA V NAMUNGO, KOMBE LA MAPINDUZI
Hili ni jeshi la Simba dhidi ya Namungo FC, nusu fainali ya pili Kombe la Mapinduzi Uwanna wa Amaan. Mshindi atakutana na Azam FC katika mchezo wa hatua ya fainali.
Hili ni jeshi la Simba dhidi ya Namungo FC, nusu fainali ya pili Kombe la Mapinduzi Uwanna wa Amaan. Mshindi atakutana na Azam FC katika mchezo wa hatua ya fainali.
MABINGWA wa kihistoria kwenye Kombe la Mapinduzi, Azam FC leo wameibuka na ushindi kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi mbele ya Yanga kwa ushindi wa penalti. Dakika 90 zilikamilika kwa timu zote mbili kutoshana nguvu hivyo mshindi ametafutwa kwa kupitia mikwaju ya penalti. Ilikuwa ni moja ya mchezo wenye ushindani mkubwa ambapo…
WBABE wawili wamekamilisha dakika 90 bila kufungana kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi hatu ya nusu fainai. Kwa sare hiyo sasa mshindi anakwenda kupatikana kwa changamoto ya penalti Uwanja wa Amaan. Ni asilimia 53 Azam FC waliweza kuwa kwenye umilliki na 47 ilikuwa kwa Yanga huku mashuti matatu kwa Azam FC yalilenga lango na…
KOMBE la Mapinduzi,nusu fainali ya kwanza, Uwanja wa Amaan dakika 45 za awali zimeguka. Azam FC 0-0 Yanga mpaka sasa hakuna timu ambayo imeona lango la mpinzani. Mshindi wa fainali hii ya kwanza atakutana na mshindi wa fainali ya pili ambapo kutakuwa na mchezo kati ya Namungo FC dhidi ya Simba. Mabingwa watetezi wa Kombe…
KIKOSI cha Yanga dhidi ya Azam FC ni full mkoko katika mchezo wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi
JEREMIA Kisubi, kipa namba tatu wa Simba leo Januari 10,2022 ametambulishwa ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar. Usajili wake ni wa mkopo akitokea Simba ambapo huko alikuwa hapati nafasi ya kuanza katika mechi za ushindani. Aliibuka ndani ya Simba akitokea Tanzania Prisons ambapo huko alikuwa ni chaguo namba moja la benchi la ufundi. Ni…
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga umeanza kazi kwa ajili ya kuivutia kasi Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi unaotarajiwa kuchezwa leo. Januari 10,2022 Yanga ambao ni mabingwa watetezi wana kazi ya kusaka ushindi mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali unaotarajiwa kuchezwa saa 10:15. Fiston…
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa ni maumivu makubwa wameyapata baada ya kupoteza mbele ya Nottm Forest na kutolewa kwenye Kombe la FA. Katika mchezo wa raundi ya tatu ya Kombe la FA ubao wa Uwanja wa City Ground ulisoma Nottm Forest 1-0 Arsenal. Bao pekee la ushindi lilifungwa na Lewis Grabban dakika…
MOJA ya washambuliaji ambao wameweza kuandika rekodi ya kipekee kwa msimu wa 2021/22 ndani ya Simba ni pamoja na Kibu Dennis ambaye alipopata nafasi ya kufunga bao la kwanza moto wake haujazima. Baada ya kufanikiwa kupachika bao hilo kwenye kila mchezo ambao amecheza ndani ya ligi katika mechi nne mfululizo ambazo ni dakika 360 amekuwa…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wanahitaji kulitwaa Kombe la Mapinduzi hivyo leo watapambana kupata matokeo mbele ya Namungo FC. Saa 2:15 usiku Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali. Mshindi wa mchezo wa leo atakutana na mshindi wa mchezo wa nusu…
LEO Jumatatu, Januari 10,2022 inatarajiwa kuchezwa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar ambapo mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa. Ni mabingwa watetezi wa taji hilo ambao ni Yanga wao watamenyana na Azam FC itakuwa ni saa 10:15 jioni. Mchezo mwingine ni ule wa pili ambao utazikutanisha Simba v Namungo, itakuwa ni saa 2:15 usiku. Washindi kwenye…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
TAARIFA zinasema kwamba, Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ amefuatwa nyumbani kwao Burundi na viongozi wa timu moja kutoka Uarabuni kwa ajili ya mazungumzo ili kumsajili. Saido ambaye hivi karibuni aliondoka Tanzania kwenda Burundi kwa ajili ya mapumziko mafupi, wakati akiwa huko ndipo Waarabu hao walipomuibukia kwa nia ya kumshawishi wamsajili. Nyota huyo aliyetua Yanga dirisha dogo la msimu uliopita, mkataba wake unatarajiwa kumalizikamwisho wa msimu huu. Mtu wa…
KUELEKEA katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi kesho Januari 10 kati ya Yanga dhidi ya Azam FC baadhi ya nyota wanatarajiwa kuukosa mchezo huo kutokana na sababu mbalimbali. Yanga ni mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi ambapo waliweza kulitwaa taji hilo kwa ushindi wa penalti mbele ya Simba. Ni Salum Aboubakhari, ‘SureBoy’ ambaye ni kiungo…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachagua kuwapa furaha mashabiki wa timu hiyo hivyo kesho watafanya vizuri kusaka ushindi. Januari 10 Simba itakuwa na kibarua kwenye Kombe la Mapinduzi ambapo inatarajia kumenyana na Namungo FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali. Mchezo wake uliopita ilitoshana nguvu na Mlandege na dakika 90 zilikamilika…
IMEFAHAMIKA kuwa uongozi wa Yanga umetumia Sh 50 Mil kufanikisha usajili wa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza, Chrispin Ngushi aliyekuwa akiwindwa pia na Simba na kumpa mkataba wa miaka mitatu. Usajili wa Ngushi mwenye mabao matatu akicheza michezo 11 ya Ligi Kuu Bara msimu huu, ni wa nne kwa Yanga kusajiliwa kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo uliofunguliwa Desemba 16, 2021. Wachezaji wengine waliosajiliwa na Yanga na kutambulishwa ni Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ kutoka Azam…
ABDULKARIM Amin,’Popat’ Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa wanatambua kwamba mchezo wao wa kesho dhidi ya Yanga utakuwa na ushindani mkubwa lakini wamejipanga kusaka ushindi. Kesho Januari 10 Yanga inatarajiwa kucheza na Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi. Yanga ni mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi na mchezo…