
AUBA AINGIA ANGA ZA NEWCASTLE UNITED
KLABU ya Newcastle United wametuma maombi kwenda Arsenal ili kuipata saini ya mshambuliaji wa klabu hiyo, Pierre-Emerick Aubameyang, 32, katika dirisha hili. Mshambuliaji huyo ambaye huenda asionekane tena uwanjani akiwa na jezi ya Arsenal amekuwa hayupo kwenye kiwango bora tangu msimu huu uanze na katika siku za hivi karibuni amevuliwa unahodha kutokana na vitendo vyake…