KIKOSI BORA CHA HAJI MANARA,SIMBA ‘OUT’
OFISA wa Yanga, Haji Manara amechagua kikosi bora kwa msimu wa 2021/22 baada ya timu zote kucheza jumla ya mechi tano. Uzuri ni kwamba haya ni maoni ya Manara yeye mwenyewe lakini ajabu ni kwamba kwenye kikosi hicho hakuna mchezaji mmoja kutoka kikosi cha Simba ambacho msimu uliopita wa 2020/21 alikuwa anataja kuwa ni kikosi…