
LIGI KUU TANZANIA BARA LEO RATIBA
JANUARI 22, Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea na kutakuwa na kazi kubwa katika viwanja vitatu tofauti kwa timu kusaka pointi tatu. Ni Mtibwa Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Salum Mayanga itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Pablo Franco. Ngoma ya Mtibwa Sugar v Simba itapigwa Uwanja…