
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
BAADA ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa penalti 9-8 dhidi ya Yanga katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi, uongozi wa Azam umetamba kuwa utaibuka na ushindi kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Simba na kuandika rekodi mpya kwenye michuano hiyo. Hii inakuwa ni mara ya sita Azam kucheza fainali ya Kombe la Mapinduzi ambapo wamekuwa na rekodi nzuri katika michuano hii, wakifanikiwa kushinda fainali tano zilizopita. Kwenye historia ya michuano hiyo Azam na Simba zimefanikiwa kukutana katika fainali tatu…
OFISA Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, kuelekea fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Azam FC. inayotarajiwa kupigwa Kesho Januari 13 Uwanja wa Amaan lengo lao namba moja ni kuweza kusepa na kombe hilo ambalo lilikuwa mikononi mwa Yanga. Ni Yanga walikuwa wanatetea Kombe la Mapinduzi walitolewa na Azam FC kwenye mchezo wa…
HII ni fainali ya kisasi ikiwa kutanisha Simba dhidi ya Azam, katika mchezo utakaopigwa kesho Alhamisi kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Ni fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa msimu wa 16. Azam imebeba ubingwa huo mara tano, huku Simba ikibeba mara tatu. Timu hizi zinakwenda kukutana katika fainali ya nne kwenye michuano hii, baada ya mara tatu zote Azam FC kuibuka na ushindi Fainali ya kisasi mwaka 2012, 2017 na 2019 ambayo ilikuwa mara…
HONGERA Kwa timu ambazo zimeweza kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi na kesho wanatarajiwa kuweza kucheza na kumpata mshindi. Ipo wazi kwamba kila timu inahitaji ushindi na ambaye atajipanga ana nafasi kubwa ya kuweza kutwaa Kombe la Mapinduzi ambalo ni heshima na litawafanya mashabiki aweze kufurahi. Mabingwa watetezi wao wamefungashiwa virago ambao ni…
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, muda wowote atawaambia mabosi wa timu hiyo wampe mkataba kiungo mkabaji Mnigeria, Udoh Etop David. Mingeria huyo yupo Unguja, Zanzibar akiendelea na majaribio ya timu hiyo iliyopo katika michuano ya Kombe la Kagame. Wachezaji wengine waliopo katika majaribio hayo ni Muivory Coast, Chekhi Moukoro na Msudan,…
ABDALAH Shaibu beki wa kati wa Yanga ameelekea Tunissia kwa ajili ya matibabu zaidi ya maumivu ya goti ambayo alikuwa nayo kwa muda mrefu. Kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ametumia dakika mbili pekee ilikuwa mbele ya Kagera Sugar na alianzia benchi wakati Yanga ikishinda bao 1-0 lililofungwa na Feisal Salum. Pia nyota mwingine ni…
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko machache kwenye ratiba ya Ligi Na ya NBC yakiathiri tarehe za michezo 12, muda wa kuanza kwa michezo sita na kuipangia tarehe michezo mitatu ambayo haikuwa na tarehe kwenye ratiba ya awali pamoja na rmchezo wa kiporo kati ya Kagera Sugar na Simba SC. Mabadiliko hayo yamelenga…
MABOSI wa Azam FC wameweka wazi kuwa kwa sasa hawana hesabu za kuachana na kocha wao wa muda Abdihamid Moallim,’Master’ raia wa Somalia. Kocha huyo ni Mmarekani mwenye asili ya Simalia aliibuka Azam FC na kupewa majukumu ya kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Kituo cha Kukuza Vipaji cha Azam FC, (Azam Academy). Kwa sasa amepwa…
MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela amefunguka kuwa suala la mshambuliaji wa Zanaco, Moses Phiri kujiunga na timu hiyo kwa kusema ni suala la muda kwa kuwa linashughulikiwa kwa weledi mzuri. Yanga inapambana kunasa saini ya mshambuliaji huyo aliyefunga mabao 17 msimu uliopita katika Ligi Kuu ya Zambia. Habari zinaeleza kuwa Yanga ipo kwenye mazungumzo na mshambuliaji huyo ili kuweza kumuongeza…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
NIGERIA wameipoteza Misri katika mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika,’Afcon,’ ambapo baada ya dakika 90 ubao wa Roumde Adjia ulisoma Nigeria 1-0 Misri. Licha ya uwepo wa staa anayekipiga ndani ya Liverpool, Mohamed Salah, Misri ilikwama kupata ushindi kwenye mchezo huo. Bao la ushindi kwa Nigeria iliyo kundi D lilifungwa na Kelechi Iheanacho dakika…
AHMED Ally, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa walicheza mchezo mkubwa mbele ya Namungo na wanaomba radhi kwa mchezo huo kwa kuwa waliandaa mchezo huo kwa ajili ya watani zao Yanga ambao wametolewa kwa kupoteza wa kufungwa penalti 9-8 baada ya dakika 90 kutoshana nguvu. Ameongeza kuwa wanahitaji Kombe hilo na wanawatambua Azam FC lakini…
MASTAA wa Yanga ambao walikuwa wanashiriki Kombe la Mapinduzi pamoja na viongozi leo Januari 11 wamerejea Dar wakitokeza Zanzibar ambapo walikuwa na kazi ya kutetea Kombe la Mapinudzi ila walivuliwa na Azam FC baada ya kupoteza kwenye changamoto ya penalti. Baada ya dakika 90 kwenye mchezo huo ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Azam FC…
PAPE Sakho, kiungo mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba amesema kuwa kwake ni furaha kuona timu hiyo inatinga hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi. Jana Januari 10, Sakho alikuwa ni miongoni mwa nyota walioanza kikosi cha kwanza mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya pili. Simba ilishinda mabao 2-0…
BAADA ya kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi jana Januari, 10,2022 leo wamewasili Dar wakitokea Zanzibar. Yanga iliyokuwa inatetea Kombe la Mapinduzi iliishia hatua ya nusu fainali ambapo ilipoteza kwa changamoto ya penalti dhidi ya Azam FC. Dakika 90 zilikamilika kwa timu kutoshana nguvu bila kufungana ugumu ukawa kwenye penalti ambapo Azam ilishinda penalti 9-8…