MZEE WA KUCHETUA ATUMA UJUMBE KWA WAZAMBIA
BERNARD Morrison, mzee wa kuchetua ametuma ujumbe kwa Red Arrows ya Zambia kwa kuweka wazi kwamba wanahitaji ushindi kwenye mchezo wao wa marudio katika Kombe la Shirikisho. Morrison alikuwa ni nyota wa mchezo ule wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa licha ya kuwa na changamoto ya maji kwenye ule uwanja aliweza kuhusika kwenye mabao yote…