
SIMBA YAWEKEZA NGUVU KIMATAIFA,KUHUSU YANGA BADO
UONGOZI wa Simba SC, umesema hivi sasa nguvu zao wamezielekeza katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates, na siyo kwa Yanga SC. Simba hivi sasa wapo kambini wakijiandaa kupambana na Orlando, mchezo wa kwanza utachezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kisha marudiano Aprili 24, Afrika Kusini….