
SAFARI NI NDEFU KUWEZA KUTOBOA KWENYE SOKA
DUNIA iliibatiza Afrika na nchi zake kuwa sehemu ya dunia ya tatu,ikiamini kuwa ni dunia ambayo maisha ya mwanadamu wa kawaida yapo kwenye changamoto lukuki zinazofanya ndoto nyingi za vijana wa bara hili kuishia njiani au kutimiza kwa shida mno. Waafrika hupitia njia nyingi sana za shida, vikwazo vya kila aina katika kutimiza ndoto zao….