
TANZANIA BADO INA KAZI KUBWA YA KUFANYA AFCON
BAADA ya kupangwa kwenye hatua ya makundi ya kufuzu Afcon ikiwa kundi F, mwandishi wa masuala ya michezo Tanzania, Marco Mzumbe amesema kuwa kuna kazi kubwa ya kufanya kwa Tanzania. Ni kundi F ambalo Tanzania imepangwa ikiwa na timu za Algeria,Uganda na Niger ikiwa ni kwa ajili ya kufuzu AFCON 2023. Mzumbe amesema ukiwatazama Algeria…