
YANGA PRINCESS WABABE KWA MKAPA YAWANYOOSHA WATANI ZAO
KIKOSI cha Simba Queens leo kimechapwa bao 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga Princess kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Soka ya Wanawake. Ilikuwa ni mchezo mkali ndani ya Uwanja wa Mkapa ambapo timu zote zilianza kwa kushambulia. Ilikuwa dk ya 5 Simba Queens walipata pigo baada ya beki wao tegemeo Singano Julieth…