NYOTA HAWA WATATU KUONDOKA AZAM FC
JUMLA ya wachezaji nyota watatu wanatarajiwa kuondoka katika kikosi cha Azam FC kwenda katika timu ya taifa ya Zimbabwe kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON). Wachezaji hao ni beki wa kushoto, Bruce Kangwa, kiungo Never Tigere na mshambuliaji Prince Dube.Nyota hao huenda wakakosekana katika michezo baadhi ya Ligi Kuu Bara na Kombe la…