RATIBA YA SIMBA HII HAPA KOMBE LA SHIRIKISHO
Ratiba ya michezo ya Simba SC #TotalEnergiesCAFCC
Ratiba ya michezo ya Simba SC #TotalEnergiesCAFCC
HIVI ndivyo makundi ya Kombe la Shirikisho namna ambavyo yamepangwa leo Desemba 28,Misri:- Kundi A ni Pyramids FC,CS Sfaxen, Zanaco na Ahli Tripoli. Kundi B ni JSK/R. Leopards, Orlando Pirates, JS Saoura na Al Ittihad. Kundi C linatimu nne ambazo ni TP Mazembe,Cotton Sport FC. Al Masry, AS Otoho. Simba kutoka Tanzania ipo kundi D…
Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya kujenga misuli ?️♂️ tayari kwa mapambano ya mchezo wao wa Ijumaa dhidi ya Dodoma Jiji???
Bonasi, Mizunguko ya bure na Jackpoti kibao kwenye sloti ya Foxpot. Sloti ya Foxpot Unapoitazama sloti hii ya Foxpot, utashangazwa wapi hizi shilingi zinatoka. Jibu ni rahisi sana, sloti hii ya Foxpot inakujia na Jackpoti tatu kubwa na Mbweha akiwa kama alama ya malipo ya Wild. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, ni sehemu sahihi kwa…
RASMI uongozi wa Simba umethibitisha kuachana na Hitimana Thiery ambaye alikuwa kocha msaidizi wa timu hiyo. Awali ilikuwa ni tetesi kwamba huenda Simba ikampa mkono wa kwa heri kocha huyo ambaye alikuja kuchukua majukumu ya Didier Gomes kwenye mashindano ya CAF. Kwa sasa Simba ipo chini ya Kocha Mkuu Pablo ambaye huyu ana vigezo vinavyotakiwa…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ligi sio nyepesi kwa kuwa kila timu imejipanga kupata pointi tatu. Kwenye msimu wa 2021/22 mpaka sasa Yanga haijapoteza mchezo hata mmoja baada ya kucheza mechi 10 ikiwa imeshinda nane na kulazimisha sare mechi mbili. Mchezo wake uliopita ilikuwa mbele ya Biashara United ambapo ilishinda mabao 2-1…
IMEELEZWA kuwa Hitimana Thiery kocha msaidizi wa Simba amefikia makuliano ya kuachana na timu hiyo. Kocha huyo alijiunga na Simba kwa ajili ya kuweza kuiongoza katika mashindano ya kimataifa kutokana na aliyekuwa kocha wa wakati huo Didier Gomes kutokidhi vigezo vya CAF. Kwa sasa timu ya Simba ipo chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco mwenye…
LEO Desemba 28,2021 makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na tayari timu ambazo zimetinga kwenye hatua ya makundi yapo namna hii:-
LEO droo ya makundi imepangwa nchini Misri kikosi cha Simba kimepangwa kundi D ambalo litawafanya wakutane na Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco. Pia timu nyingine ni pamoja ASEC Mimosas, USGN ambazo zipo kundi moja katika Kombe la Shirikisho. Pia kundi C linatimu nne ambazo ni TP Mazembe,Cotton Sport FC. Al Masry, AS Otoho….
LEO Desemba 28 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbunga ambapo timu nne zinatarajiwa kushuka uwanjani kusaka pointi tatu. Ni Coastal Union ikiwa imetoka kushinda mabao 3-2 dhidi ya Mbeya City itasaka pointi mbele ya Mtibwa Sugar iliyotoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania. Mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa…
IMEFAHAMIKA kuwa Yanga imetumia kitita cha Sh 50Mil kwa ajili ya kununua mkataba wa kiungo mshambuliaji wa Biashara United, Denis Nkane huku ikimpa mshahara wa Sh mil 3 kwa mwezi. Nkane ni kati ya wachezaji waliokuwa wanawaniwa vikali na timu kongwe za Yanga na Simba ambayo ilizidiwa ujanja katika kuwania saini ya kiungo huyo kinda….
RALF Rangnick, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa ni lazima viwango vya wachezaji wake kuongezeka katika mechi zijazo. Maneno hayo ameyasema baada ya ubao wa Uwanja wa St James Park kusoma Newcastle United 1-1 Manchester United. Ni Allan Saint-Maximin alipachika bao la kuongoza kwa timu ya Newcastle dk 7 likasawazishwa dakika ya 71 na…
MSANII na shabiki mkubwa wa Yanga, Mboto amesema kuwa wapinzani wao wanatamani kusema kwamba wamepata ushindi kwa shida mbele ya Biashara United lakini wanashindwa. Ushindi wa mabao 2-1 walioupata Yanga Desemba 26 mbele ya Biashara United unawafanya waweze kuwa na uhakika wa kumaliza 2021 wakiwa nafasi ya kwanza na pointi zao ni 26.
HABIB Kondo, Kocha Msaidizi wa Klabu ya KMC amesema kuwa wamesahau matokeo waliyoyapata mbele ya Simba sasa hesabu zao ni mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting. KMC ilipoteza kwa kufungwa mabao 4-1 dhidi ya Simba katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi na kuwafanya wayeyushe pointi tatu mazima. Leo KMC itakuwa na kazi ya…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
HATMA ya kiungo mshambuliaji, Ousmane Sakho na beki Pascal Wawa na wenzao watatu wanaotajwa kuweza kuachwa kwenye usajili wa dirisha dogo itajulikana hivi karibuni kwa kuwa tayari Kocha Mkuu, Pablo Franco ameshakabidhi ripoti ya usajili. Nyota wengine wanaotajwa kuweza kuachwa katika timu hiyo ni kiungo, Duncan Nyoni, kipa Jeremiah Kisubi, na kiungo mkabaji Abdoulswamad…
BAADA ya kuvunja mkataba na mabosi wake wa zamani Yanga sasa Wazir Junior ni mali ya Dodoma Jiji. Dili lake ni la mwaka mmoja na miezi sita kwa ajili ya kuweza kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata. Mshambuliaji huyo anatarajiwa kuanza kuonekana kwenye kikosi hicho kwa msimu huu wa 2021/22 ndani ya…