BURUDANI YA SOKA INAHAMIA AFRIKA, AFCON 2022 KIMEUMANA!!
Wikiendi hii, mzunguko wa 3 wa FA Cup unaendelea hii ikiwa ni sambamba na kuanza kwa Mashindano ya AFCON 2022 Barani Afrika. Ni burudani tupu viwanjani. Jamvi la wikiendi lipo hivi; Leicester City watawaalika Watford pale King Power Stadium Jumamosi hii. Cladio Ranieri atarejea nyumbani kwa mara ya pili. Walipokutana kwenye EPL, Watford walipoteza…