
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA DODOMA JIJI HIKI HAPA
KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji leo Mei 15,2022 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Kete ya Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi ipo namna hii:- Djigui Diarra Djuma Shaban Kibwana Shomari Bakari Mwamnyeto Dickson Job Zawad Mauya Sure Boy Jesus Moloko Ambundo Feisal Salum Mayele