
YANGA:SIMBA WALIJIPOTEZEA UBINGWA WENYEWE
MWINYI Zahera,Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana ndani ya Yanga amesema kuwa Simba wamejipotezea ubingwa wa ligi weyewe baada ya kushindwa kuwafunga vinara wa ligi. Ni Yanga wanaongoza wakiwa na pointi 60 baada ya kucheza mechi 24 waliweza kufikisha pointi hizo baada ya ushindi mbele ya Dodoma Jiji kwa mabao 2-0 Uwanja wa Jamhuri,Dodoma….