
KAMBOLE AINGIA ANGA ZA YANGA
IMEELEZWA kuwa Lazarous Kambole anayekipiga ndani ya Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini yupo kwenye hesabu za mabosi wa Yanga. Huyo ni mshambuliaji wa kimataifa ambaye anatajwa kuwa kwenye hesabu za vinara hao wa ligi ambao wapo kwenye kusubiri hesabu zikamilike watwae taji la Ligi Kuu Bara kwa kuwa wamewaacha wapinzani wao Simba kwa…