
JOYCE LOMALISA NI NJANO NA KIJANI,ASAINI DILI KWA MABINGWA
JOYCE Lomalisa ni nyota mpya ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kutambulishwa usiku wa kuamkia leo Julai 12,2022 na mabosi wa timu hiyo ambayo imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22. Yeye ni beki raia wa DR Congo kwa dili la miaka miwili ambapo alikuwa akicheza Klabu ya Bravaso do Maqui…