
ALIYETAJWA KUTUA SIMBA SYLLA ASAJILIWA URENO
Baada ya kutajwa sana kutakiwa na kujiunga baadhi ya klabu za hapa nchini,kiungo Morlaye Sylla wa klabu ya Horoya amejiunga na klabu ya Arouca ya nchini Ureno.
Baada ya kutajwa sana kutakiwa na kujiunga baadhi ya klabu za hapa nchini,kiungo Morlaye Sylla wa klabu ya Horoya amejiunga na klabu ya Arouca ya nchini Ureno.
IMEELEZWA kuwa, Simba ipo katika mazungumzo ya mwisho kwa ajili ya kumuachia mshambuliaji wake, Yusuph Mhilu kwenda Singida Big Stars. Mhilu ni kati ya washambuliaji waliosajiliwa na timu hiyo mwanzoni mwa msimu huu, kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chao ambacho kimeshindwa kutetea mataji yake ya Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports….
NA Hussein Msoleka MAISHA ya soka yana siri kubwa na changamoto nyingi, kuna wakati unaweza kutamani siku zirudi nyuma ili uweze kuona yale ambayo tuliyashuhudia huko nyuma. Hivi sasa hakuna ubishi wowote kuwa George Mpole ndiye mshambuliaji bora zaidi mzawa kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu. Tayari straika huyu wa Geita Gold FC amehusika kwenye…
YANGA SC wanataka kuzifundisha timu nyingine namna gani ya kushangilia ubingwa msimu huu, hiyo ni baada ya Msemaji wa Yanga, Haji Manara kuweka wazi kwamba wameagiza gari maalumu la kubeba wachezaji na kutembeza kombe lao. Manara anasema, basi ambalo wameagiza ni kama lile walilolitumia Real Madrid kushangilia ubingwa wao wa La Liga na Ligi ya…
Kiungo Rally Bwalya raia wa Zambia ametambulishwa rasmi kuwa Mchezaji wa Timu ya Amazulu ya Afrika Kusini akitokea Simba Bwalya amesema “Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu” Timu ya Amazulu imemaliza Msimu wa 2021/22 ikiwa nafasi ya 7 katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini kati ya…
MOJA ya magari mawili ya kifahari ambayo, Cristiano Ronaldo alikuwa ameyasafirishwa kwenda Mallorca nchini Hispania kwa ajili ya likizo ya familia yake majira ya kiangazi aina ya Bugatti Veyron limehusika katika ajali baada ya kugonga ukuta nchini Hispania. Gari hilo ambalo lina thamani ya pauni milioni 1.7 linadaiwa kupata ajali asubuhi ya kuamkia jana katika…
MAWAKALA wa Straika wa Manchester City, Gabriel Jesus wamesafiri mpaka nchini Uingereza kwa ajili ya kuhakikisha wanakamilisha dili la straika huyo ambaye anatajwa kutua ndani ya Arsenal kutokea Manchester City. Mabingwa hao wa Premier wanataka pauni milioni 50 kwa Jesus, huku wakitarajia kurejesha fedha hiyo ili kufidia matumizi yao kwa, Kalvin Phillips wa Leeds…
UWEZO mkubwa aliouonyesha staa wa Leeds United, Raphinha kwa kuisaidia timu hiyo kusalia ndani ya Ligi Kuu England imezivutia klabu za Tottenham, Liverpool na Manchester United ambao sasa wameingia katika mbio hizo dhidi ya Arsenal ambayo tayari imetenga dau la pauni milioni 50. Mbrazil huyo alikuwa kinara wa mabao ndani ya kikosi cha Leeds msimu…
KAMPUNI ya Meridianbet imeendelea na utamaduni wake wa kushirikiana na jamii, na kuwatengenezea vijana hamasa ya kuendeleza vipaji vyao. Kama sehemu ya utaratibu wake wa kila Mwezi kampuni hii imeandaa bonanza la soka la wanawake lililofanyika Jijini Dar es Salaam, wikendi iliyopita. Meridianbet iliamua kuzishika mkono klabu nne za madaraja ya chini za Mkoa wa…
“Mchezaji kama Feisal sasa hivi anamkataba, inakuja Klabu labda kutoka South Afrika inakuletea ofa ya USD 50,000 au USD 100,000 hatuwezi kukaa kuzungumza naye huyu mtu. “Hapa katikati zimekuja ofa za baadhi ya timu, hatuwezi kumuuza Feisal Chini ya Tsh. Bilioni 1 sawa na Kama USD 500,000 hapo angalau tunaweza kuzungumza,” Msemaji wa Yanga, Haji…
BEKI wa zamani wa Chipa United, Frederic Nsabiyumva raia wa Burundi ‘Beki Katili’ ameweka wazi kwa kusema ataweka wazi ujio wake ndani ya Simba baada ya kukamilisha kila kitu kwa kuwa mambo yake anapenda kuyafanya kwa usiri mkubwa. Nsabiyumva ambaye aliachwa na Chipa United ya Afrika Kusini, kwa sasa bado anafanya mazoezi na timu ya…
INARIPOTIWA kuwa straika, Cesar Manzoki raia wa Afrika Kati mwenye uraia wa DR Congo amewafanyia umafia wa kutisha mabosi wa Simba ikiwa ni muda mchache kabla ya kutua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusaini mkataba na badala yake akaelekea DR Congo huku mabosi wa Yanga wakitajwa kwenye umafia huo. Manzoki ambaye ana uwezo…
Dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite msimu wa 2022/2023 litafunguliwa Julai 1, 2022 na kufungwa Agosti 31, 2022. Katika kipindi hicho Klabu zinatakiwa kukamilisha usajili na uhamisho wa Kimataifa. Klabu zote zinapaswa kuzingatia muda huo wa usajili, hakutakuwa na muda…
CEDRICK Kaze Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa hakuna mwalimu ambaye hatapenda kuwa na mchezaji kama Aziz KI kwa kuwa ni miongoni wa wachezaji wazuri. Nyota huyo anatajwa kuibukia ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Klabu ya ASEC Mimosas ambapo alikuwa anatajwa pia kwenye rada za Simba. Kaze amesema kuwa suala la usajili lipo mikononi…
MIFUMO mitatu ya safu ya ushambuliaji Yanga, balaa
KUELEKEA mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Polisi Tanzania kuna nyota wawili wa Yanga ambao wanaweza kuukosa mchezo huo. Yanga ni mabingwa wa ligi msimu wa 2021/22 wakiwavua taji hilo watani zao wa jadi Simba. Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedrick kaze amesema kuwa wanatambua mchezo huo…
CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amewaambia mashabiki kuwa ikiwa Simba watawaambia kwamba wameshinda kwa mabao 3-1 inabidi wawaulize,sawa wanakwenda wapi na pointi tatu wakati tayari bingwa ameshajulikana?