
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MBEYA KWANZA
LEO Novemba 30 Yanga itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Mbeya Kwanza mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Sokoine. Kikosi kinachoanza kipo namna hii:- Diarra Djigui Shaban Djuma David Bryason Bakari Mwamnyeto Dickson Job Tonombe Mokoko Mauya Zawad Kaseke Deus Mayele Fiston Feisal Salum Saido Ntibanzokiza