
KLOPP BADO ANAMKUMBUKA MANE
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool anaamini kwamba kuondoka kwa Sadio Mane ni jamo gumu kwake kwenda nalo sawa kwa sasa. Mane raia wa Senegal sasa atakuwa ni mali ya Bayern Munich baada ya timu hiyo kukamilisha usajili wake. Unakuwa ni usajili wa tatu kwa Bayern Munich kukamilika ambapo Mane anakwenda kuchukua mikoba ya Robert…