Home Sports ALIYETAJWA KUTUA SIMBA SYLLA ASAJILIWA URENO Sports ALIYETAJWA KUTUA SIMBA SYLLA ASAJILIWA URENO June 23, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Baada ya kutajwa sana kutakiwa na kujiunga baadhi ya klabu za hapa nchini,kiungo Morlaye Sylla wa klabu ya Horoya amejiunga na klabu ya Arouca ya nchini Ureno.