
KUMBE YANGA WALIPANIA KITAMBO KWELI
YANGA jana Jumapili waliweza kulisimamisha Jiji la Dar wakiwa wanalitembeza kombe lao la Ligi Kuu Bara walilolitwaa msimu huu wa 2021/22. Ubingwa huo ni wa 28 kwa Yanga ambapo jana Jumamosi walikabidhiwa kombe lao baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Msemaji wa Yanga, Haji Manara,…