Home Sports RALLY BWALYA ATAMBULISHWA AMAZULU YA AFRIKA KUSINI

RALLY BWALYA ATAMBULISHWA AMAZULU YA AFRIKA KUSINI

Kiungo Rally Bwalya raia wa Zambia ametambulishwa rasmi kuwa Mchezaji wa Timu ya Amazulu ya Afrika Kusini akitokea Simba

Bwalya amesema “Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu”

Timu ya Amazulu imemaliza Msimu wa 2021/22 ikiwa nafasi ya 7 katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini kati ya timu 16

Previous articleBUGATTI LA RONALDO LAPATA AJALI
Next articleYANGA WATUMIA GARI LA MADRID KUBEBEA KOMBE