
AZAM FC YAACHANA NA BEKI WAO WA KAZI
LEO Julai 7,2022 ikiwa ni siku ya sabasaba,matajiri wa Dar wameweka wazi kuwa wanaachana na mchezaji wao Yvan Mbala ambaye ni beki. Anakuwa ni nyota wa tatu kupewa mkono wa asante baada ya Mathias Kigonya ambaye na kipa pamoja na Frank Domayo ambao wote hawatakuwa kwenye kikosi cha Azam FC msimu wa 2022/23. Kupitia ukurasa…