
CITY YAPATA KIPA MPYA MPAKA 2028
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Uingereza Klabu ya Manchester City imetangaza kukamilisha dili la kumsaini kiungo mkabaji wa Klabu ya Leeds United raia wa Uingereza Kalvin Phillips kwa mkataba wa miaka 6 ambao unatarajiwa kumalizika majira ya joto mwaka 2028. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 amesajiliwa kwa kiasi cha paundi milioni 45 ambazo…