
MERIDIANBET WAANZISHA SHINDANO LA MIKWAJU YA PENATI KUISAIDIA JAMII
Meridianbet inaendesha shindano la upigaji wa mikwaju yake penati kwa ajili kuchangisha fedha ambazo lengo la ukusanyaji wa fedha hizo likiwa ni kurejesha kwa Jamii. Kampuni hii ambayo ni wakongwe na magwiji wa ubashiri wa michezo na kasino ya mtandaoni, wamekuwa wakifanya shughuli mbali kama hizi zinazowaweka karibu zaidi na Jamii. Wakati huu Kampuni imeamua…