
BEKI WA SIMBA INONGA AWEKA REKODI YAKE
BEKI wa Simba,Henock Inonga ndani ya msimu wa 2021/22 ameweka rekodi yake ya kuwa mchezaji pekee aliyeonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa wale waliopenya kwenye orodha hiyo wakiwa wapo watatu. Kesho kwenye ukumbi wa Rotana Hotel tuzo za Bodi ya Ligi zinatarajiwa kutolewa ambapo moja ya tuzo ambayo inatazamwa kwa ukaribu ni hii iliyokuwa mikononi…