Home Sports KAKOLANYA NI SHUJAA DK 540

KAKOLANYA NI SHUJAA DK 540

KIPA namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya kwa msimu wa 2021/22 amekaa langoni kwenye mechi 9 za ligi ambapo aliweza kufungwa kwenye mechi tatu.

Tupo naye kwenye mwendo wa data kuangalia kile ambacho alikifanya katika kutimiza majukumu yake namna hii:-

Dk 540 za ushujaa

Kwenye mechi 6,Kakolanya alikuwa shujaa kwa kuweka lango salama ambapo hakuweza kutunguliwa ilikuwa:-

Biashara United

Dodoma Jiji

Polisi Tanzania

Mbeya City

Mtibwa Sugar

Mbeya Kwanza

Dk 270 za joto ya jiwe

Mechi tatu, Kakolanya aliweza kuonja joto ya jiwe namna hii na ilikuwa ni bao mojamoja:-

 Geita Gold

Tanzania Prisons

KMC

Bao la kufungwa kwa penalti 0

Kadi nyekundu 0

Previous articleSUALA LA MKATABA KUVUNJWA KYOMBO LAFAFANULIWA
Next articleVIDEO:UWANJA MPYA WA YANGA KUCHUKUWA WATU 20,000