Home Sports VIDEO:SIMBA HAIKUWA MSIMU MZURI KWETU,DILUNGA BADO,USAJILI

VIDEO:SIMBA HAIKUWA MSIMU MZURI KWETU,DILUNGA BADO,USAJILI

SELAMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa msimu wa 2021/22 haukuwa mzuri kwao jambo ambalo liliwafanya waweze kushindwa kutwaa mataji waliyokuwa wanatetea.Kusuhu wachezaji ambao wataondoka katika kikosi hicho ni suala la kusubiri ripoti itakavyokuwa siku ikifika

Previous articleHAWA HAPA WATATU WANAWANIA TUZO YA KIUNGO BORA
Next articleVIDEO:LIVE:INJINIA HERSI ANATOA AHADI IKIWA ATACHAGULIWA KUWA RAIS YANGA