Sevilla Wakiwa Ugenini Kwenye Mtihani Mgumu Dhidi ya Osasuna leo

Leo tarehe 26 Aprili saa 19:30 jioni, uwanja wa El Sadar huko Pamplona utakuwa shuhuda wa pambano la kuvutia kati ya Osasuna na Sevilla.

Osasuna wakiwa nyumbani wanajulikana kwa nguvu zao za kutumia mashabiki, huku Sevilla wakiwa ugenini watajaribu kurejea kwenye matokeo mazuri baada ya msimu mgumu. Kwa Osasuna, kila pointi inawasaidia kukaa salama katikati ya msimamo; kwa Sevilla, ushindi unaweza kuwaweka mbali na kushuka Daraja.

Osasuna chini ya kocha Lisci Alessio wamejenga utambulisho wa timu ngumu, yenye nidhamu ya ulinzi na mashambulizi ya moja kwa moja. Wakiwa na wachezaji kama Ante Budimir mbele kama nguzo, wanategemea mpira wa kona na makali ya pembeni kutoka kwa Moi Gómez au Rubén Peña

Kwa upande mwingine, Sevilla ya Garcia Plaza Luis inatafuta uthabiti. Wakiwa na wachezaji mahiri kama Adams Akor na Vargas Ruben, wanamiliki ubora wa mtu binafsi unaoweza kuvunja ulinzi wowote.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Osasuna wanaingia nkwenye mchezo huu wkiwa sehemu salama kwenye msimamo wa ligi akiwa na alama 39 kwenye nafasi ya 10, kwa Svilla mambo ni magumu wakiwa nafasi ya 16 na pointi 34 tofauti yao ni alama 5.

Kwa ufupi, mchezo huu unaweza kuwa mgumu na wenye mabao machache. Osasuna nyumbani ni timu hatari kwa timu yoyote, hasa usiku. Sevilla ana ubora lakini ugenini hawana uhakika.