
MWANZO MBAYA KIMATAIFA IWE NI SOMO KWA VITENDO
WAWAKILISHI wa kimataifa kwenye mechi za kimataifa nyumbani na ugenini hakuna ambaye ameanza kwa mwendo mzuri.Ipo wazi kuwa ni mwendo mbovu wameanza nao kwa kushindwa kupata matokeo. Kutokana na kuanza hivyo kwa kushindwa kushinda huku wachezaji wakionekana kutotumia nafasi wanazotengeneza ni muhimu kutumia ubovu huo kuwa darasa huru kwenye mechi zinazofuata. Yanga na Simba katika…