
BIASHARA UNITED WANAHITAJI MAOMBI
UONGOZI wa Biashara United umewaomba mashabiki waweze kuiombea timu hiyo ili iweze kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Azam FC ili iweze kufufua matumaini ya kubaki ndani ya ligi. Ofisa Habari wa Biashara United,Salma Thabit amesema kuwa nafasi ambayo wapo ni mbaya na wanahitaji ushindi mbele ya Azam FC leo. Mchezo wa leo ni wa…