
KOCHA COASTAL UNION ATUMA UJUMBE HUU YANGA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa wanatambua kwamba leo wana mchezo mgumu wa fainali dhidi ya Yanga lakini wachezaji wake wanajua nini ambacho wanahitaji. Coastal Union ilitinga hatua hii kwa ushindi mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Coastal Union ilishinda kwa…