
SABABU ZA BM KUSAINI YANGA NA KUIKACHA SIMBA
KIUNGO wa zamani wa Simba,Bernard Morrison ameweka wazi kuwa ambacho anakipenda na atakikumbuka kutoka kwa viongozi na mashabiki wa Simba ni upendo hivyo anaomba uendelee daima. Kwa sasa kiungo huyo amerejea ndani ya Yanga aliyokuwa akiichezea zamani kabla ya kuwafunga Simba kwenye mchezo wa ligi kisha akasajiliwa ndani ya Simba. Sababu kubwa ambayo imemfanya aweze…