
REKODI ZA WANAOWANIA TUZO YA KIUNGO BORA BONGO
SUALA la muda tu leo kwa wachezaji na watu wa mpira kuweza kupokea tuzo kwa msimu wa 2021/22 kupitia kwa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Ni Julai 7 zinatarajiwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Rotana Hotel, hapa Spoti Xtra inakuletea walichokifanya mastaa wanaowania tuzo ya kiungo bora kwa msimu wa 2021/22 ambapo wote wanatoka kikosi…