
MSERBIA MPYA WA SIMBA AMEANZA KAZI BAADA YA KUTAMBULISHWA
MSERBIA wa Simba muda mfupi baada ya kutambulishwa leo alikuwa miongoni mwa wachezaji ambao wamefanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa. Nyota huyo ametambulishwa leo Agosti 7,2022 ni Dejan Georgijević ambaye ni mshambuliaji akitokea Klabu ya Domzale. Usajili huo wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu,Zoran Maki ni maalumu kwa ajili ya kuboresha kikosi kwa msimu…