
MANULA KUIKOSA YANGA KESHO KWA MKAPA
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula kesho anatarajiwa kuukosa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga kutokana na kuwa bado hajawa fiti. Manula alipata maumivu kwenye mchezo wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya Somalia uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Simba, Zoran Maki amesema kuwa…