PHIRI ANATEGEMEA JAMBO HILI SIMBA

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Moses Phiri, amesema kuwa anategemea kupata ushirikiano mzuri ndani ya Simba kutoka kwa kiungo Clatous Chama na kuifanya timu hiyo kuwa tishio zaidi kwa msimu ujao jambo ambalo anaamini litaisaidia kurejea katika makali yake. Phiri ndio usajili wa kwanza kutambulishwa ndani ya Simba kwa msimu huu ambapo mchezaji huyo ana uraia…

Read More

HUYU HAPA MVP LIGI KUU BARA 2021/22

KATIKA usiku wa tuzo za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 uliweza kukamilika kwa kila mmoja kuweza kujua kile ambacho amekivuna. Kwa upande wa tuzo ya mchezaji bora ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa umakini ilikwenda kwa kiungo wa Yanga, Yannick Bangala. Tuzo hiyo ilitolewa na mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Waziri wa Sanaa, Utamaduni na…

Read More

HIKI HAPA RASMI KIKOSI BORA 2021/22 LIGI KUU BARA

USIKU wa mastaa ambapo tuzo zinatolewa katika Hotel ya Johari Rotana Dar na kikosi bora kwa msimu wa 2021/22 kipo namna hii:- Djigui Diarra wa Yanga Djuma Shaban Yanga Mohamed Hussein Simba Henock Inonga Simba Bakari Nondo Mwamnyeto Yanga Yannick Bangala Yanga Abdul Suleiman Sopu Coastal Union Feisal Salum Yanga Fiston Mayele Yanga George Mpole…

Read More

SERIKALI KUBORESHA VIWANJA,MPOLE APEWA TUZO YAKE

LEO Julai 7 siku ya Sabasaba ikiwa ni usiku wa Tuzo kwa msimu wa 2021/22 Serikali imetaja viwanja ambavyo vitafanyiwa maboresho. Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mohamed Mchengerwa ametaja viwanja sita vitakavyokarabatiwa na Serikali kwa kuwekewa nyasi za asili. Viwanja hivyo ni pamoja na CCM Kirumba Mwanza, Sheikh Amri Abeid Arusha, Sokoine Mbeya, Mkwakwani…

Read More

AZAM FC YAACHANA NA BEKI WAO WA KAZI

LEO Julai 7,2022 ikiwa ni siku ya sabasaba,matajiri wa Dar wameweka wazi kuwa wanaachana na mchezaji wao Yvan Mbala ambaye ni beki. Anakuwa ni nyota wa tatu kupewa mkono wa asante baada ya Mathias Kigonya ambaye na kipa pamoja na Frank Domayo ambao wote hawatakuwa kwenye kikosi cha Azam FC msimu wa 2022/23. Kupitia ukurasa…

Read More

KIKOSI BORA CHA LIGI KUU BARA 2021/22

ULE ubora wa wachezaji umeonekana kwa msimu wa 2021/22 kila aliyepewa nafasi alifanya kweli na mwisho wa siku kila mmoja kavuna kile ambacho amekipata. Wakati leo Julai 7 Bodi ya Ligi Tanzania wakitarajia kutoa tuzo kwa wachezaji waliofanya vizuri pamoja na kutangaza kikosi bora,hapa tunakuletea kikosi bora kwa msimu wa 2021/22. Mfumo utakaotumika ni ule…

Read More

MWAMBA WA LUSAKA AANZA KUPIGA MATIZI

MWAMBA wa Lusaka kiungo mshamuliaji wa Simba,Clatous Chama ameanza kufanya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2022/23. Chama amerejea kwa mara nyingine ndani ya Simba baada ya kuwa ndani ya RS Berkane lakini ameshindwa kuonyesha makeke yake kutokana na kile kilichoelezwa kuwa alipata maumivu kwenye mchezo dhidi ya Yanga. Taarifa iliyotolewa na…

Read More

KIUNGO NUNES APIGIWA HESABU CHELSEA

KLABU ya Chelsea inajiandaa kutuma ofa ya kuinasa saini ya kinda wa Ureno anayekipiga katika Klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Matheus Nunes mwenye umri wa miaka 23 anayecheza nafasi ya kiungo mshambuliaji. Inakadiriwa Chelsea wanajiandaa kutuma ofa ya paundi milioni 45 ikiwa na nyongeza ya paundi milioni 5 ambayo itatokana na vipengele vya mkataba….

Read More

REKODI ZA WANAOWANIA TUZO YA KIUNGO BORA BONGO

SUALA la muda tu leo kwa wachezaji na watu wa mpira kuweza kupokea tuzo kwa msimu wa 2021/22 kupitia kwa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Ni Julai 7 zinatarajiwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Rotana Hotel, hapa Spoti Xtra inakuletea walichokifanya mastaa wanaowania tuzo ya kiungo bora kwa msimu wa 2021/22 ambapo wote wanatoka kikosi…

Read More

HIZI HAPA REKODI ZA MAKIPA WANAOWANIA TUZO BONGO

LEO ni leo itakuwa kwa kuwa ni siku ya ugawaji wa tuzo kwa wanamichezo baada ya kukamilisha msimu wa 2021/22 ambapo mabingwa ni Yanga. Julai 7 zinatarajiwa kufanyika tuzo hizo kwenye Ukumbi wa Rotana Hotel, huku moja ya kipengele ambacho kinatazwa kwa ukaribu ni upande wa mlinda mlango. Hapa tunakuletea rekodi za mastaa hao watatu waliopenya…

Read More

MSELELEKO WALIOUPATA AZAM FC KUMNASA MR HAT TRICK HUU HAPA

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa mseleleko ambao waliopata kuinasa saini ya kiungo kutoka Coastal Union Abdul Hamis Suleiman,’Sopu’ umetokana na kuwa na marafiki ndani ya Azam FC ambao ni wachezaji pia. Sopu alikuwa kwenye hesabu za Coastal Union wenyewe ambao walikuwa kwenye mazungumzo ya kumuongezea mkataba,Simba na Yanga nao wanatajwa kuwa walikuwa wanahitaji…

Read More