
MORRISON KUMUONDOA MMOJA KIKOSINI YANGA
IMEELEZWA kuwa usajili wa Bernard Morrison umefawafanya Yanga, kuingia makubaliano ya kuachana rasmi na winga wa kulia raia wa DR Congo, Jesus Moloko. Moloko aliungana na Yanga Agosti 13, 2021, akitokea katika Klabu ya As Vita ya kwao DR Congo na kusaini mkataba wa miaka miwili. Chanzo cha uhakika kutoka Yanga kimeeleza kuwa, pamoja na ubora…