VIDEO:SOPU ALIYEFUNGA HAT TRICK MBELE YA YANGA HUYU HAPA

KIUNGO mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Suleiman, ‘Sopu’ ameweka wazi kwama walikuwa wanatambua umuhimu wa mchezo wa fainali dhidi ya Yanga jamo lililowafanya wacheze kwa kujituma huku akibainisha kwamba kilichowafanya washindwe kufanya vizuri ni mwendo wa majibizano hasa kila wanapofunga na wapinzani wao walikuwa wanafunga Julai 2,2022. Nyota huyo alifunga hat trick kwenye mchezo huo…

Read More

VIDEO:NAMNA DIARRA ALIVYOWEZA KULIA

KIPA namba moja wa Yanga,Diarra Djigui aliweza kuwaga machozi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid baada ya kumaliza kazi kuokoa penalti kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Coastal Union ambapo Yanga ilishinda kwa penalti 4-1 baada ya dk 120 uao kusoma Yanga 3-3 Coastal Union

Read More

KOCHA MPYA SIMBA ANAAMINI WATASHINDA VITU VINGI

KOCHA mpya wa Simba,Zoran Manojlovic ameweka wazi kuwa anaamini kwamba atarejesha heshima ndani ya kikosi hicho atakapoanza kazi. Ilikuwa Mei 28 ambao Simba ilimtangaza Zoran kuwa kocha wa Simba akipokea mikoba ya Pablo Franco ambaye alifutwa kazi. Ilikuwa ni Mei 31 mwendo wa Pablo uligota ukingoni msimu wa 2021/22 baada ya kupoteza kwa kufungwa bao…

Read More

BEKI WA MABINGWA ATUA SINGIDA BIG STARS

BEKI wa Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho msimu wa 2021/22 ametua ndani ya kikosi cha Singida Big Stars. Yanga jana Julai 2 iliweza kukamilisha msimu kwa kutwaa Kombe la Shirikisho kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Coastal Union kwa ushindi wa penalti 4-1 baada ya dk 120 kukamilika…

Read More

MANARA:WALINIDHIHAKI,ILA IMEJIBU SLOGAN

ANAANDIKA Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga:”Wapo walioidhihaki, na kuna wengine walinikejeli binafsi, wakasema sina jipya,nazikumbuka sana zile kashfa katika kituo kimoja cha Redio kuhusu kauli mbiu hii,walitumia wiki nzima kuiponda na kunishanbulia huku wakisema nawajaza Wananchi. “Kuna nyakati hadi wenzangu klabuni wakanishauri tubadili,nikawaambia hii Slogan imenijia kwa kuwa tunahitaji kurudisha makombe yetu,tuendelee nayo hii…

Read More

FAINALI FA,MAPUMZIKO:YANGA 0-1 COASTAL UNION

MCHEZO wa hatua ya nusu fainali, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa sasa ni mapumziko huku timu zote zikipambana kuweza kusepa na ushindi. Ubao unasoma Yanga 0-1 Coastal Union chini ya kocha mzawa Juma Mgunda. Bao la kuongoza kwa Coastal Union limepachikwa kimiani na Abdul Suleiman,’Sopu’ ambaye anafikisha mabao 7 kwenye Kombe la Shirikisho msimu…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA COASTAL UNION

MBELE ya Coastal Union kwenye mchezo wa fainali leo Julai 2,2022 kiungo Zawad Mauya ataanzia benchi pamoja na Mshery,Yassin,Bacca,Moloko,Kaseke,Nkane,Makambo na Ambundo. Kikosi cha kwanza ni Diarra Djigui Djuma Shaban Farid Mussa Dickson Job Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala Kahlid Aucho Sure Boy Feisal Salum, Chico Ushindi Fiston Mayele

Read More

YACOUBA KUIKOSA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

WAKATI wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Coastal Union, Yanga itakosa huduma ya mshambuliaji wao mmoja. Ni Yacouba Songne ambaye amekuwa nje kwa muda mrefu baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Yanga,Cedrick…

Read More

KOCHA COASTAL UNION ATUMA UJUMBE HUU YANGA

 JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa wanatambua kwamba leo wana mchezo mgumu wa fainali dhidi ya Yanga lakini wachezaji wake wanajua nini ambacho wanahitaji. Coastal Union ilitinga hatua hii kwa ushindi mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Coastal Union ilishinda kwa…

Read More

KOCHA GEITA GOLD AFUNGUKIA MPOLE KUTUA SIMBA

KOCHA Mkuu wa kikosi cha Geita Gold, Fred Felix Minziro, ameweka wazi kuwa ni kweli kuna uwezekano mkubwa wakampoteza straika na nahodha wa kikosi chao, George Mpole ambaye anatajwa kupokea ofa kutoka klabu za Simba na Yanga. Mpole amekuwa miongoni mwa wachezaji ambao wako kwenye nafasi kubwa ya kuondoka ndani ya kikosi cha Geita Gold…

Read More

SALAH AJIFUNGA LIVERPOOL

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Liverpool na Timu ya Taifa ya Misri Mohamed Salah ameongeza mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kubakia katika klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya mersesyde. Salah amesaini mkataba huo unaotarajiwa kumalizika majira ya kiangazi mwaka 2025 huku akipokea kitita cha Paundi 350,000 ambayo ni sawa na zaidi ya Milioni…

Read More